MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Endelea kupambania 🤣🤣🤣Yanga bado hawatapita hili kundi, mechi ijayo anapoteza kwa Ahly halafu Belouzidad wanashinda dhidi ya Medeama. Safari ya Yanga itakomea hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kupambania 🤣🤣🤣Yanga bado hawatapita hili kundi, mechi ijayo anapoteza kwa Ahly halafu Belouzidad wanashinda dhidi ya Medeama. Safari ya Yanga itakomea hapo
Jirani haya majini muwape na simbaLete maneno jirani.
Unaugulia maumivu ukiwa wapi?Semi final? Na hata makundi bado hajapitaaa?
Tulikuwa tumebeba kibuyu cha majini
Mlongo, marehemu mtarajiwa alikuwa na mdomo sana..!! Marehemu mtarajiwa ni jeuri sana..!! Mlongo, sitashangaa kuwaona hata robo fainali mnaikosa..!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo mbona mbwembwe sanaa, ndo kwanzaa mko mlangoni, hata vyumbani bado.
Mnaanza kutukana wenyejii, woiiiih
Kwamba wanamchukuwa na majini yake, au majini watayarudisha?Wale safari imeisha, sisi na majini yetu tumesonga mbele.
Nilipata za ndani kuwa Simba wanataka kumchukua msimu ujao, tujiandae.
😂😂Tulikuwa tumebeba kibuyu cha majini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Avic townUnaugulia maumivu ukiwa wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulizana mlongo, sisemii kituu.Mlongo, marehemu mtarajiwa alikuwa na mdomo sana..!! Marehemu mtarajiwa ni jeuri sana..!! Mlongo, sitashangaa kuwaona hata robo fainali mnaikosa..!!
Hahahaaa. Ahsante sana Mtani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karibuni kwenye kombe letu la robo fainali tuliloridhika nalo wenyewe, kwa wachezaji mlionao mkikaza fainali ile pale, sisi tuendelee kuhangaika na maveteran wetu
Wakiyataka tutawapa wahangaike nayo. 😂Jirani haya majini muwape na simba
Tafadhari Naomba U-reply Kwenye Uzi Wetu Ule Pinned Wa Young Africans Official Maana Najaribu Kuingia Hapa Wanataka Niingie Kwa Web.Wakiyataka tutawapa wahangaike nayo. [emoji23]
Tena sio tu mbumbumbu ila mbumbumbu Fc🤓
Popoma kama kweeeli vile.hakuna kama yanga fc tanzania na afrika hii. ukiichukia yanga fc utakuwa na pepo. sijutii kuishabikia yanga fc na nitaendelea kuishabikia daima hasa hasa jamvini jamiiforums
HahahahahaYanga wagongwe tu wala sina kazi nao
🤣😂😂Hahahahaha
Matokeo vipiBouilzdad piga hao vyura 3-0.
Akikujibu nitagMatokeo vipi
Naomba hilo buku chap!Mkishinda hii mechi ya waarabu mje mniombe buku nimekaa paleeee
Yaani mnakandwa kwa Lupaso na mnasugulia Misri