MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Wamba kama wamba 😄Yanga Wanaanza Kutepeta... Wamba anawatesa Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamba kama wamba 😄Yanga Wanaanza Kutepeta... Wamba anawatesa Sana
Ficha aibuKinachouma ni kwamba hata akishinda Yanga hafuzu.Hapa yenyewe wanahitaji goli 3 ili wafuzu,kitu ambacho hakiwezekani
Tuma namba mkuuNaomba hilo buku chap!
Kaka ulitabiri vizuri hongera sana4-0..
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sawa [emoji16][emoji23]Mkishinda hii mechi ya waarabu mje mniombe buku nimekaa paleeee
Yaani mnakandwa kwa Lupaso na mnasugulia Misri
Na Yanga SC wakashinda goli 4Uzi hautembeii kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu unisamehe, mimi siwezi kukutakia hata droo tu. Upigweeeeeeeei
😂😂😂Mara nyingi dua mbaya kama yako hutoa matokeo kinyume chako
Hongera kwa droo mliyotoka kuipata