FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

Pia timu zenye ushindani ni 3 tu tofauti na ligi zingine.
Kuna tatizo. Rushwa ipo nje nje. Loop holes zipo nyingi sana za match fixing kama mdhamini wa team fulani kuwa mdhamini wa team nyingine kadhaa.
 
Utopolo hii mbofu mbofu itatolewa round ya kwanza mwakani CAF
 
Hawa wachezaji wa Hamgembe United choka mbaya!!
 
Kuna tatizo. Rushwa ipo nje nje. Loop holes zipo nyingi sana za match fixing kama mdhamini wa team fulani kuwa mdhamini wa team nyingine kadhaa.
Peleka maoni yako pale tff Kuna sanduku la maoni aliwai kusema Msemaji wenu,,vinginevyo Kaa kimya
 
Sijui kiswahili na kifupi mi sio mtanzania ila hizi comments nyingi hapa kwenye huu Uzi ni za Wana Simba!
 
Ukitaka huo usawa basi inabidi timu zote 15 zinazoshiriki ligi kuu ziwe na uwezo unaokaribiana kiuchumi ambapo timu zote zitakuwa na uwezo wa kuchukua professional players wenye viwango, uongozi na benchi la ufundi imara na kuweza kusafiri kwa ndege. Timu inatoka Bukoba kwa gari halafu ije icheze mpira unaoleweka na wa ushindani ni jambo gumu.

Kupishana kwa level za hizi timu dhidi ya Simba na Yanga kumechangiwa na utofauti wa kiuwekezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…