FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

Duh kweli Tanzania hamna mpira. Sio siri kocha wa Yanga alisema ligi ya bongo ni rahisi.

Mpira wa bongo kuangalia ni aibu. Kwa hizi penalty..?
Kuna siku nitakuja kutoa darasa huru la jinsi ya kuchagua mechi za Yanga za kuangalia.

Msimu huu mechi zote za Yanga nilizoangalia live ilifungwa au kutoa sare ukiacha ile ya marudiano na Al Hilal ambayo wote tunajua kilichotokea (na ile isingekuwa siku moja na mechi ya Simba inawezekana nisingeiangalia).
 
Yaani hao Kagera wameshindwa kuweka hata tangazo la Katerero katika jezi zao?
 
Wewe ndo masta wa live hapa JF...
 
MAXI Nzengeli mchezaji bora wa mechi..

Huwa wanatumia vigezo gani?
 
Mechi za Yanga za ligi kuziangalia ni kupoteza muda tu.

Maana haiwezekani timu inashinda kila mechi.

Lazima kutakuwa na mambo ya ziada yanafanyika.
Inashinda kila mechi halafu inashika nafasi ya pili?

Tumtag Aden Rage?
 
Ni kwanini kocha rama anasema ligi ni nyepesi ila huko caf hali inakua tete kwa upande wa yanga shida hasa ni nini
Mkuu kisichoeleweka hapo nini? Kwamba wanavyocheza Kagera Sugar ndivyo wanavyocheza Al Hilal?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…