Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Mna point 3 zetu round hiiSawa mwanetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mna point 3 zetu round hiiSawa mwanetu
Mechi za Yanga za ligi kuziangalia ni kupoteza muda tu.Waze wa kuhonga team pinzani wanalejea uwanjani huku kikosi kikiwa chini ya mwalimu Rama cha msingi aambiwe ukweli kua game hua zinachezwa nje wa uwanja sio amaiona ligi yetu nyepesi
😃😀Mna point 3 zetu round hii
Ila huku kwa Yanga wazawa wa kitanzania ndio wamefunga, halafu mgeni wa Burkina Faso kwa Ibrahim Traore amekosa penati ya wazi ingawa yenye utataIla tuwe wakweli wachezaji wengi wa kitanzania wana skills ndogo sana za mpira. Hawa Kagera Sugar ni mfano wa wazi wa wachezaji wetu. Wanapoteza mipira kiwepesi sana
Mechi za Yanga za ligi kuziangalia ni kupoteza muda tu.
Maana haiwezekani timu inashinda kila mechi.
Lazima kutakuwa na mambo ya ziada yanafanyika.
Nadhani benchi la ufundi litalifanyia kazi hiloKama imeenda mpaka imekuwa kwake ni kawaida, kwanini anapewa yeye nafasi ya kupiga penalt?
Hakuna wengine?
Hamjifunzi kwa Tp Mazembe ambao walimpisha kipa wao kupiga penalt?
Kesho litaendelea pia, na Bonanza linategemea kutamatika mwezi wa tanoBonanza
Basi labda ule usemi wa bahasha ni kweli. Hakiyani, mi ningekuwa ndio mlipa mishahara hawa wachezaji sijui ingekuwaje. Yaani wachezaji hata akili ya kujua mpira uupige vipi hawana?Ila huku kwa Yanga wazawa wa kitanzania ndio wamefunga, halafu mgeni wa Burkina Faso kwa Ibrahim Traore amekosa penati ya wazi ingawa yenye utata
Zaidi ya Bonanza. Penalty ya mwanzo hakuridhika nayo😀😀😀Bonanza
Simba kafungwa lini na hizi timu? Je nao wanatoa bahasha? Tunashindwa kukubali kuwa hizi timu hazina ubora wa kutoa ushindani kutokana na kuzidiwa kiuwekezaji kwa Simba na Yanga ikitokea ni bahati tu ila hazina viwango vya kushindana na Simba na Yanga kimpira uwanjani.Basi labda ule usemi wa bahasha ni kweli. Hakiyani, mi ningekuwa ndio mlipa mishahara hawa wachezaji sijui ingekuwaje. Yaani wachezaji hata akili ya kujua mpira uupige vipi hawana?
Penati gani kweni ileSimba kafungwa lini na hizi timu? Je nao wanatoa bahasha? Tunashindwa kukubali kuwa hizi timu hazina ubora wa kutoa ushindani kutokana na kuzidiwa kiuwekezaji kwa Simba na Yanga ikitokea ni bahati tu ila hazina viwango vya kushindana na Simba na Yanga kimpira uwanjani.