Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Shida sio wewe ni huo wekundu wa maimbaziAzizi Ki anapachika bao hapa baada ya kupokea assist kwa huyu mchezaji mwenye filimbi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida sio wewe ni huo wekundu wa maimbaziAzizi Ki anapachika bao hapa baada ya kupokea assist kwa huyu mchezaji mwenye filimbi
Hii vita siingizi jeshi languJina ndio utata.
fungua PM tutete jambo
NdioHahahaaa. Lol.
Ilikuwa ni lazima lipatikane goli la namna hii kuwatoa wenge maana wale watoto walikuwa wanatukaziaKama jana tu, ila jana walikuwa wawili mmoja mwenye filimbi na mwingine mwenye bendera
Alituangusha sanaYule dogo ndo alitufanya tukala 3 kule Algeria ni jau sana yule
Akiwa mkiani ndio aonewe huruma?Hii Penati ni Aibu tupu.... Mtani Bora Urudi Kibugumo na Geza Ulole Ukajifue tena....!
Afu Ujue Mtibwa Yupo Mkiani mwa Table
Lazima achangamkie maokotoMechi kama hii refa lazima aitumie kama opportunity wala simlaumu
Wanakimbilia wapi?Mabadiliko ya leo yapo sawa sana na walioanza wanakimbia kweli...
Itakua Nigeria mkuuWanakimbilia wapi?
Au sioMabadiliko ya leo yapo sawa sana na walioanza wanakimbia kweli...
Mbona jana hukuandika gazeti refu kama hili? Ulivyofurahia jana kwa penati nyepesi na kurudiwa mara mbili mbili ili kufungua score board ndio na leo wana Yanga wanavyofurahia. Jifunze kujizuia na makasiriko.Ilikuwa ni lazima lipatikane goli la namna hii kuwatoa wenge maana wale watoto walikuwa wanatukazia
Na hizi game za mwisho wa mwaka hata siwalaumu marefa.
Mwisho wa mwaka una mambo mengi kwanza kuna mfululizo wa sikukuu mbili
Watoto inabidi wale na wavae kisha januari ni maandalizi ya shule nguo mpya na vitendea kazi vya shule vinahitajika.
Na ukicheki ndio kuna mizinguo ya malipo huko TFF kila siku tunasikia mpya mara wadhurumiwe.
Mechi kama hii refa lazima aitumie kama opportunity wala simlaumu
Yanga hawana huo upuuzi wa kununua mechiMtibwa wasiingie tamaa ya fedha na mali