FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

Azizi Ki anapachika bao hapa baada ya kupokea assist kwa huyu mchezaji mwenye filimbi
Shida sio wewe ni huo wekundu wa maimbazi

2827003_Screenshot_20210702-085234~2.jpg
 
Kama jana tu, ila jana walikuwa wawili mmoja mwenye filimbi na mwingine mwenye bendera
Ilikuwa ni lazima lipatikane goli la namna hii kuwatoa wenge maana wale watoto walikuwa wanatukazia

Na hizi game za mwisho wa mwaka hata siwalaumu marefa.

Mwisho wa mwaka una mambo mengi kwanza kuna mfululizo wa sikukuu mbili

Watoto inabidi wale na wavae kisha januari ni maandalizi ya shule nguo mpya na vitendea kazi vya shule vinahitajika.

Na ukicheki ndio kuna mizinguo ya malipo huko TFF kila siku tunasikia mpya mara wadhurumiwe.

Mechi kama hii refa lazima aitumie kama opportunity wala simlaumu
 
Kama unapenda kubeti, utafute uzi mmoja nilionyesha jinsi magoli ya Simba na Yanga huwa yanafungwa muda unaofanana na wakati mwingine hata aina ya magoli pale mechi zao zinapofululiza pamoja.

Jana goli la kwanza la penati limefungwa dakika ya 42. Leo goli la kwanza la penati limefungwa dakika ya 45
 
Ilikuwa ni lazima lipatikane goli la namna hii kuwatoa wenge maana wale watoto walikuwa wanatukazia

Na hizi game za mwisho wa mwaka hata siwalaumu marefa.

Mwisho wa mwaka una mambo mengi kwanza kuna mfululizo wa sikukuu mbili

Watoto inabidi wale na wavae kisha januari ni maandalizi ya shule nguo mpya na vitendea kazi vya shule vinahitajika.

Na ukicheki ndio kuna mizinguo ya malipo huko TFF kila siku tunasikia mpya mara wadhurumiwe.

Mechi kama hii refa lazima aitumie kama opportunity wala simlaumu
Mbona jana hukuandika gazeti refu kama hili? Ulivyofurahia jana kwa penati nyepesi na kurudiwa mara mbili mbili ili kufungua score board ndio na leo wana Yanga wanavyofurahia. Jifunze kujizuia na makasiriko.
 
Back
Top Bottom