Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Umetumia haki yako ya kutabiri, na pia kutoa maoni. Utakayemkera atakuwa hana akili timamu kichwani.Yanga 1-2 mtibwa sugar.
Kama nawakera semeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetumia haki yako ya kutabiri, na pia kutoa maoni. Utakayemkera atakuwa hana akili timamu kichwani.Yanga 1-2 mtibwa sugar.
Kama nawakera semeni.
Kabisa kabisa kabisa........Umetumia haki yako ya kutabiri, na pia kutoa maoni. Utakayemkera atakuwa hana akili timamu kichwani.
Uchochoro wa Kibu DDjigui The Djigui Diara 🙌 🙌
Huyu mtu akikaa golini huwa naangalia mpira huku nachat na babe, yule mwingine hata kunywa maji siwezi hadi dakika 90 ziishe.
Kama ambavyo na nyie mliingia tamaa tar 5 NovMtibwa wasiingie tamaa ya fedha na mali
Kiaje Mtani?Gamondi ataambiwa anaharibu maana ya kikosi kipana.
Ukiwatajia hizi tano huwa wananywea mbaya. 😅Kama ambavyo na nyie mliingia tamaa tar 5 Nov
Weka KikosiNambie koloView attachment 2843656
Modes siku hizi wanalala yoh!Mbona uzi hauna live updates??
🤣🤣 muhasibu amefuraUkiwatajia hizi tano huwa wananywea mbaya. 😅