OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Uto leteni updates sio mpaka mfunge ndio mjazane humuHii mechi inachezwa kimyakimya!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uto leteni updates sio mpaka mfunge ndio mjazane humuHii mechi inachezwa kimyakimya!??
Huyu mchezaji anaongeza tu idadi ya wachezaji wa kigeni. Anatakiwa apunguze manjonjo yake yasiyo na ulazima.Skudu ana mambo ya kitoto sana
Mzize ni mzize!!!Nini hapa Mzizee.. ooh my God
Hamtaki tena magoli mengi?Points tatu ndo cha muhimu kwetu Timu ya Wananchi.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Kwa wapinzani pia ni muhimu madame.Acha kujipendaPoints tatu ndo cha muhimu kwetu Timu ya Wananchi.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Wapo wapendao hayo mambo ya kupanda mpira!!Huyu mchezaji anaongeza tu idadi ya wachezaji wa kigeni. Anatakiwa apunguze manjonjo yake yasiyo na ulazima.
Hatufai cc wananchi tumgawe ata bure kbsHuyu mchezaji anaongeza tu idadi ya wachezaji wa kigeni. Anatakiwa apunguze manjonjo yake yasiyo na ulazima.
Yani kibendera anatoa maamuzi yake na refa wa kati nae anafanya maamuzi yake.....upuuzi tuKulikuwa kuna faulo kweli hapa?
mwasibu wa mchongo. 🤣🤣🤣🤣 muhasibu amefura
Kwa udi na uvumbaYanga anatafutiwa goli kwa nguvu
Mbeleko.Kulikuwa kuna faulo kweli hapa?