DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Japo yanga siwapendi ila kwenye ligi yetu wanacheza kibingwa sana....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani ni malimbukeni mnoo..ni ndoto waliyoota siku nyingi...Vyura wakishapata wimbo ni kuimba tu. Kroooo krooooo kroooo.
Utapata ulcers ufe...Hilo Goli la Mtibwa Ndio Goli zuri, mpaka sasa
Mfyuuu...!!😏😏😏Yani ni malimbukeni mnoo..ni ndoto waliyoota siku nyingi...
Hilo la faulu jmn ndio amekuwa mtoboko mbna alikuwa faulu ile ndoo mamana hakiwa kwemye uhodari wakeSCreen protector amekua screen mtoboko...
Tafuta U tyubu....Weka video tuone
Nipe linkTafuta U tyubu....
Sikuliona kumbe ni faulu...Hilo la faulu jmn ndio amekuwa mtoboko mbna alikuwa faulu ile ndoo mamana hakiwa kwemye uhodari wake
Andika Simba 5 vyura 0 zitakuja video..Nipe link
😂😂😂Utapata ulcers ufe...
😏😏
WamepelekaNa ole wake anichanie mkeka wangu
SCreen protector amekua screen mtoboko...
Kimempiga mtu 5Weka Kikosi
Simba ilikutana na ihefu, yanga, namungo na asec zote hizo mliruhusu goli,,, kwa yanga unashangaaMechi 4 mfululizo hakuna clean sheet
Kabisa jamaa anajifanya ajui kitu😂Simba ilikutana na ihefu, yanga, namungo na asec zote hizo mliruhusu goli,,, kwa yanga unashangaa