FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

Tunawasubiri. Wydad bila Yahya Jabrani ni sawa na kuvaa sidiria bila kuwa na titi. Njoo uone mwarabu akioga mvua ya magoli style ya kihoroya horoya
Tutaona mengi sana
20231214_225009.jpg
 
Hilo la faulu jmn ndio amekuwa mtoboko mbna alikuwa faulu ile ndoo mamana hakiwa kwemye uhodari wake
Unajua jirani nimerudia kusoma hii comment yako nimecheka sana...ulikua kwny boda wakati unatype au?. 😆 😆
 
Sijaangalia mpira , nimeona tu highlight za magoli naona kama refa mechi imemzidi

Goli la pili kwa yanga nimeona kama faulo ya wazi
Goli la mtibwa faulo ya wazi au nimeona vibaya
 
Sijaangalia mpira , nimeona tu highlight za magoli naona kama refa mechi imemzidi

Goli la pili kwa yanga nimeona kama faulo ya wazi
Goli la mtibwa faulo ya wazi au nimeona vibaya
Tufanye basi 3 kwa 0 au vipi
 
Back
Top Bottom