FT: Yanga SC 5 - 0 Ihefu SC | NBC Premier League | Azam Complex | 11.03.2024

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
๐Ÿ”ฐ๐๐„๐—๐“ ๐”๐๐Ÿ”ฐ

๐Ÿ† #NBCPremierLeague
โšฝ๏ธ Young Africans SC๐Ÿ†šIhefu FC
๐Ÿ“† 11.03.2024
๐ŸŸ Azam Complex
๐Ÿ•– 12:00 Jioni

Kikosi kinachoanza dhidi ya Ihefu SC

Mpira umeanza
Dakika ya 5
Yanga SC 0-0 Ihefu SC

Dakika ya 10
GOAAAAAAL Pacomeeeee

Dakika ya 15
Yanga SC 1-0 Ihefu SC

Dakika ya 19
Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 25
Mudathir anapoteza nafasi ya wazi

Dakika ya 29
GOAAAAAAL mudathir

Dakika ya 32
Aziz k anachezewa faulo nje kidogo ya 18 freekick anaenda kupiga musonda amekosa

Dakika ya 36
Ihefu SC wanapata Kona

Dakika ya 43
Yanga SC wanapata freekick anapiga Aziz k hapa amekosa Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 45+ 2
Half time

Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 49
Kibabage anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 51
Yanga SC 2- 0 Ihefu SC

Dakika ya 55
Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi

Dakika 59
Aziz k kaotea offside

Dakika ya 60
๐— ๐—”๐—•๐—”๐——๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ž๐—ข๐Ÿ”
๐Ÿ„พ๐Ÿ…„๐Ÿ…ƒ
Musonda
Mzize

๐Ÿ„ธ๐Ÿ„ฝ
Guede
Okrah

Dakika ya 63
Yanga SC 2-0 Ihefu SC

Dakika ya 68
GOAAAAAAL Aziz Kiiiiiiiiiiiโšฝ๏ธ

Dakika ya 69
Guede anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 72
Mabadiliko anatoka mudathir anaingia max nzengeli

Dakika ya 77
Yanga SC wanapata Kona ya 4 kwa Yanga SC hii Aziz k anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 80
Guede anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 83
GOAAAAAAL okrah

Dakika ya 84
GOAAAAAAL max nzengeli

Dakika ya 88 Yanga SC 5-0 Ihefu SC

Dakika ya 90+4
Full time
 
Nyota waliokosa mchezo uliopita sasa wamerejea uwanja wa mazoezi

๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Djigui Diarra
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Lomalisa Mutambala
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Pacome Zouzoua
๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ Kennedy Musonda
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Joseph Guรจde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ