FT: Yanga SC 5 - 0 Ihefu SC | NBC Premier League | Azam Complex | 11.03.2024

Mi nadhhani kuna muda wachezaji wa singida big stars(ihefu)huwa wanashangaa sana mpira wa bongo..

Imagine mtu anakuja bongo kucheza soka ila mechi na yanga,(marouf tchakei,onyango,duke abuya,chukwu morice,)na wengine wanaomilikiwa na mwigulu wanaambiwa wacheze chini ya kiwango,ili yanga ishinde afu anayesema ni mmiliki wa timu na hela anawapa.

Ila Tz kila kitu uhuni uhuni tuu,anyways kesho ihefu akipata hata on target 2 mnidai milioo
 
Hivi kwanini mbumbumbu wote mnafanana akili?
 
Mi nadhhani kuna muda wachezaji wa singida big stars(ihefu)huwa wanashangaa sana mpira wa bongo..

Imagine mtu anakuja bongo kucheza soka ila mechi na yanga,(marouf tchakei,onyango,duke abuya,chukwu morice,)na wengine wanaomilikiwa na mwigulu wanaambiwa wacheze chini ya kiwango,ili yanga ishinde afu anayesema ni mmiliki wa timu na hela anawapa.

Ila Tz kila kitu uhuni uhuni tuu,anyways kesho ihefu akipata hata on target 2 mnidai milioo
Simba walipofungwa, walipewa pesa ili wacheze chini ya kiwango au walizidiwa tu?
 
Hatimaye jirani kamnunua mbwa aliyekuwa anamng'ata ngoja tuone kama atamtuliza.
 
Mi nadhhani kuna muda wachezaji wa singida big stars(ihefu)huwa wanashangaa sana mpira wa bongo..

Imagine mtu anakuja bongo kucheza soka ila mechi na yanga,(marouf tchakei,onyango,duke abuya,chukwu morice,)na wengine wanaomilikiwa na mwigulu wanaambiwa wacheze chini ya kiwango,ili yanga ishinde afu anayesema ni mmiliki wa timu na hela anawapa.

Ila Tz kila kitu uhuni uhuni tuu,anyways kesho ihefu akipata hata on target 2 mnidai milioo
mechi ya kwanza walishinda haya maneno hayakuwepo

vp mechi za simba nazo zina maelekezo mbona wanachapika nyingi tu
 
Achani waandamane eeh ni UJINGA wao [emoji2957]
Kolozidad wanadai Yanga atashinda kisa GSM anaidhamini Ihefu lakini wao tulipowapasau bandama walikua wamemuuzia Mwamedi timu. [emoji23]
Nasemaje mbaazi zikikauka husingizia jua Sisi tutamtwanga Ihefu halafu milio tutaisikiliza toka Kwa MBUMBUMBU [emoji16]
 
Mi nadhhani kuna muda wachezaji wa singida big stars(ihefu)huwa wanashangaa sana mpira wa bongo..

Imagine mtu anakuja bongo kucheza soka ila mechi na yanga,(marouf tchakei,onyango,duke abuya,chukwu morice,)na wengine wanaomilikiwa na mwigulu wanaambiwa wacheze chini ya kiwango,ili yanga ishinde afu anayesema ni mmiliki wa timu na hela anawapa.

Ila Tz kila kitu uhuni uhuni tuu,anyways kesho ihefu akipata hata on target 2 mnidai milioo
Hakuna kitu wanayanga tunapenda kama milio ya MBUMBUMBU [emoji16]
 
Back
Top Bottom