FT: Yanga SC 5 - 0 Ihefu SC | NBC Premier League | Azam Complex | 11.03.2024

Kufungwa na Ihefu yatosha ,asiyefaa kafaa ,mtu siyo nyau.

Yanga yamoto ,Ihefu anakula Mbili za kumtoa WENGE.
 
Hakuna mechi hapo Ihefu imenunuliwa kimkakati,Simba jikiteni kwenye chambions league Ligi hii ya ndani hakuna haki ni janja janja za kiswahili
 
Kila la heri Wananchi Young Africans. πŸ’šπŸ’›πŸ’ͺ Point 3 ni muhimu sana wakati huu.
 
Hii mechi inaweza kuisha kwa sare ili kujaribu kufunika soo la GSM kudhamini timu 10 za ligi
Utahira ni mzigo Sana... Kwani Gsm ndio tajiri pekee aliyedhamini timu zaidi ya moja toka ligi ianze?. Hebu simanieni moja... Kombe lenu ni Fei kuwa mchezaji mfungaji Bora au Gsm kudhamini timu 10?.
 
Nd
Nyanda la bilioni 3 hilo, rekodi ya thamani ambayo hamtakuja muifikie maisha yenu yote. Mpaka Metacha Mnata afikie thamani ya bilioni si kiama kitakuwa kimefika?
Ndio maana mnaitwa mbumbu... Kuna gorikipa wa B hapo?πŸ˜…πŸ˜…hii misukule ya Mooo ina utahira Sana.
 
Tatizo la simba ,badala ya kuipigania timu yenu,mjue mnakosea wapi NYIE KUTWA KUISEMA NA KUIJADILI YANGA...NA KUJIFANANISHA NAYO...WAKATI IMEWAACHA KWA MBALI MNOO KWA SASA...POLENI SANA,NENDA KAKOJOE UKALALE ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…