FT: Yanga SC 5-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 31.12.2023

FT: Yanga SC 5-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 31.12.2023

Kwa hiyo Deportivo de Utopolo pamoja na promo yote waliyofanya wameshindwa kujaza hadi uwanja wa watu 3000 aiseee
20231231_224811.jpg

Kumbe
 
Usisahau kuweka na picha za vikosi vilivyowasili hapo Zenji

Huwenda nikamuona tena mwanetu Kambole maana ndio msimu wake huu, tukikosa nafasi ya kumuona hapa itabidi tusubiri tena Mapinduzi Cup ya 2024.

So weka concentration kwa wachezaji waliovaa cap. Maana mwanetu anapenda kuvaa cap na muda mwingi anaangalia chini pale anapoona journalists wamemkaribia.
Timu yako na Jamhuri wote Jamhuri moja
 
Ni kweli ni mechi iliyoingiza mashabiki wengi ila picha zinaonyesha vipo viti vingi vilivyo wazi. Nitakuuliza swali lingine, inakuwaje shughuli ya TFF au sijui ZFF halafu timu moja inaiteka kama shughuli binafsi ya klabu kutambulisha wachezaji? Hii nayo imekaaje? Au na hili utaniambia nina wivu?

Nataka kumaliza mwaka kwa kuuliza maswali magumu, kesho naweza kuamka sitaki tena kuingia JF. Ni mazungumzo tu....
Casemilo alitambulishwa vipi man u?
 
Utopolo na kuokoteza na kuwapamba wachezaji walioachwa kwa viwango vibovu.. Mkude, Sureboy, Muda, ... na sasa tena Okrah
 
Utopolo na kuokoteza na kuwapamba wachezaji walioachwa kwa viwango vibovu.. Mkude, Sureboy, Muda, ... na sasa tena Okrah
Ni sahihi imeokoteza, ila hao uliowataja wakipangwa uwanjani wanafanya kazi ipasavyo. Ishu sio kuokota, bali unaokota kipi? Kuna watu wanadondosha ela, na vitu vyenye dhamani na wengine huviokota
 
Back
Top Bottom