uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Let him retire in Peace!!If he's not offering a good performance.... I'm afraid he's gonna be sacked in few days to come
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Let him retire in Peace!!If he's not offering a good performance.... I'm afraid he's gonna be sacked in few days to come
Sawa mkuuBado Bila bila.
Yanga wakifunga nakujulisha
Naona ubao unasoma tanoBado Bila bila.
Yanga wakifunga nakujulisha
Pomoni unaijua wewee?Haangalii boli huyo .
Uwanja wa Amani umejaa hadi pomoni!!
Ngushi aliyeitwa Mbappe dakika chache zilizopita ametolewa sub nini?Yanga wameacha kucheza Mpira.
Speed imekuwa ndogo sana
Wangekamiwa na wasingefanya kitu.Tunapowaambia hawa wazanzibari Mapinduzi Cup sio mashindano ya kupeleka Simba na Yanga wajaribu kuelewa, Ona sasa! Hicho ni kikosi B lakini hali ni hivyo! Angekuwepo Max Aziz na Pacome ingekuwaje?
Yupo amekosa goli la wazi kabisaNgushi aliyeitwa Mbappe dakika chache zilizopita ametolewa sub nini?
Nashangaa inakuwaje hivyo na mnakwama wapi au hamna mashabiki kama vile inavyodhaniwa. Ni mazungumzo tu...Acha wivu.
kwa mambo madogo
Sawa, mi naona uwanja umejaa na ndio mechi iliyoingiza mashabiki wengi zaidi tokea hii michuano ianzeNashangaa inakuwaje hivyo na mnakwama wapi au hamna mashabiki kama vile inavyodhaniwa. Ni mazungumzo tu...
Kuna mtu kaanguka?Skudu Wawe wanamwekea vitu vizito kidogo mfukoni