FT: Yanga SC 5-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 31.12.2023

Wanaoteseka ni Makolo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sawa, mi naona uwanja umejaa na ndio mechi iliyoingiza mashabiki wengi zaidi tokea hii michuano ianze
Ni kweli ni mechi iliyoingiza mashabiki wengi ila picha zinaonyesha vipo viti vingi vilivyo wazi. Nitakuuliza swali lingine, inakuwaje shughuli ya TFF au sijui ZFF halafu timu moja inaiteka kama shughuli binafsi ya klabu kutambulisha wachezaji? Hii nayo imekaaje? Au na hili utaniambia nina wivu?

Nataka kumaliza mwaka kwa kuuliza maswali magumu, kesho naweza kuamka sitaki tena kuingia JF. Ni mazungumzo tu....
 
Hakuna mechi yoyote ambayo Yanga itacheza uwanja wa Amani mashabiki wawe wachache labda iwe nusu fainali au fainali ambayo haita ihusisha Yanga.
Kwa takwimu za miaka yote ya mashindano Aya, timu ya Yanga uwa inaingiza mashabiki wengi kuliko timu yoyote shiriki.
Hii ni kwa mujibu ya waandaji na waanzilishi mashindano ayo ZFA mjini Magharibi.
Bahati nzuri ZFA uwa wanatangaza uwanjani mashabiki walio udhuria katika mechi husika.
 
Ni kweli ni mechi iliyoingiza mashabiki wengi ila picha zinaonyesha vipo viti vingi vilivyo wazi. Nitakuuliza swali lingine, inakuwaje shughuli ya TFF au sijui ZFF halafu timu moja inaiteka kama shughuli binafsi ya klabu kutambulisha wachezaji? Hii nayo imekaaje?

Nataka kumaliza mwaka kwa kuuliza maswali magumu, kesho naweza kuamka sitaki tena kuingia JF. Ni mazungumzo tu....
Una porojo sana.
 
Ni kweli ni mechi iliyoingiza mashabiki wengi ila picha zinaonyesha vipo viti vingi vilivyo wazi. Nitakuuliza swali lingine, inakuwaje shughuli ya TFF au sijui ZFF halafu timu moja inaiteka kama shughuli binafsi ya klabu kutambulisha wachezaji? Hii nayo imekaaje? Au na hili utaniambia nina wivu?

Nataka kumaliza mwaka kwa kuuliza maswali magumu, kesho naweza kuamka sitaki tena kuingia JF. Ni mazungumzo tu....
Umeamua kuchagua maisha ya kuteseka
 
Timu pekee ya mpira wa miguu kutoka Tanganyika inayoruhusiwa kusema Jamhuri ya Zanzibar ni timu mbovu ni Ihefu fc pekee
Nyingine zote zikae kimya
 
Back
Top Bottom