FT: Yanga SC 5-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 31.12.2023

FT: Yanga SC 5-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 31.12.2023

Okra πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu ni ngushi au mbape?
Mbona kama injinia anataka kutuchanganya?

Leo tuna nkane right wing back..
Kuna team inatamani kusema jamhuri ni wabovu ila na wao walikula 5

Welcome okrah
 
Simba tuna roho mbaya....

Kuna watu tumewashikisha Augustine Okrah hapa
 
Utiopolio bana!!! Wenzao azam wanatambulisha wachezaji wa kimamtoni wao wanalokoteza uzed zalookosa timu?
 
Huyu ni ngushi au mbape?
Mbona kama injinia anataka kutuchanganya?

Leo tuna nkane right wing back..
Kuna team inatamani kusema jamhuri ni wabovu ila na wao walikula 5

Welcome okrah
Kwa mechi gani?
 
Back
Top Bottom