joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Cha muhimu wamekula kiganja kama nyie.Najua unatamani kusema wabovu, ila ukikumbuka Nov tano unakuwa mpole.Kwa hiyo Deportivo de Utopolo pamoja na promo yote waliyofanya wameshindwa kujaza hadi uwanja wa watu 3000 aiseee
Naunga mkono hojaUkitoa Ihefu wengine wote pisi kali
Kwa hiyo Deportivo de Utopolo pamoja na promo yote waliyofanya wameshindwa kujaza hadi uwanja wa watu 3000 aiseee
Mwenyeji wa mechi alikua nani dada?Kwa hiyo Deportivo de Utopolo pamoja na promo yote waliyofanya wameshindwa kujaza hadi uwanja wa watu 3000 aiseee
Timu yako na Jamhuri wote Jamhuri mojaUsisahau kuweka na picha za vikosi vilivyowasili hapo Zenji
Huwenda nikamuona tena mwanetu Kambole maana ndio msimu wake huu, tukikosa nafasi ya kumuona hapa itabidi tusubiri tena Mapinduzi Cup ya 2024.
So weka concentration kwa wachezaji waliovaa cap. Maana mwanetu anapenda kuvaa cap na muda mwingi anaangalia chini pale anapoona journalists wamemkaribia.
Wewe na Jamuhuri ndio mpo sawa. Kumbuka mimi sikufungwa 5-0Timu yako na Jamhuri wote Jamhuri moja
Casemilo alitambulishwa vipi man u?Ni kweli ni mechi iliyoingiza mashabiki wengi ila picha zinaonyesha vipo viti vingi vilivyo wazi. Nitakuuliza swali lingine, inakuwaje shughuli ya TFF au sijui ZFF halafu timu moja inaiteka kama shughuli binafsi ya klabu kutambulisha wachezaji? Hii nayo imekaaje? Au na hili utaniambia nina wivu?
Nataka kumaliza mwaka kwa kuuliza maswali magumu, kesho naweza kuamka sitaki tena kuingia JF. Ni mazungumzo tu....
Ni sahihi imeokoteza, ila hao uliowataja wakipangwa uwanjani wanafanya kazi ipasavyo. Ishu sio kuokota, bali unaokota kipi? Kuna watu wanadondosha ela, na vitu vyenye dhamani na wengine huviokotaUtopolo na kuokoteza na kuwapamba wachezaji walioachwa kwa viwango vibovu.. Mkude, Sureboy, Muda, ... na sasa tena Okrah
Weka video tuone
Video ya nini?Weka video tuone
Ahsante kwa taarifa...Kila la kheri 💚💛
Yanga noumaaaAhsante kwa taarifa...
KabisaYanga noumaaa