FT: Yanga SC 5-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 31.12.2023

FT: Yanga SC 5-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 31.12.2023

Mapinduzi cup kuna timu inaitwa jamus na mxhezaji wa timu hiyohiyo anaitwa jamus sijaelewa je ni timu yake?
 
Kikosi cha yanga
Screenshot_20231231-193752.jpg
 
Usisahau kuweka na picha za vikosi vilivyowasili hapo Zenji

Huwenda nikamuona tena mwanetu Kambole maana ndio msimu wake huu, tukikosa nafasi ya kumuona hapa itabidi tusubiri tena Mapinduzi Cup ya 2024.

So weka concentration kwa wachezaji waliovaa cap. Maana mwanetu anapenda kuvaa cap na muda mwingi anaangalia chini pale anapoona journalists wamemkaribia.
Vipo tayari!!
 
Back
Top Bottom