FT: Yanga SC 5-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 31.12.2023

FT: Yanga SC 5-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 31.12.2023

Juzi nimeuliza swali sijajibiwa, kwanini Yanga imekuwa inamzuia Mzize asijiunge timu ya taifa na sheria zinasemaje pale mchezaji anapokataa au kukatazwa na timu yake asijiunge na timu ya taifa?
Alizuiwa na nani? Lini? Ulikuwepo wakati anazuiwa? Tupe clip ya maelekezo yakioneshwa kuwa kazuiwa.
 
Tunapowaambia hawa wazanzibari Mapinduzi Cup sio mashindano ya kupeleka Simba na Yanga wajaribu kuelewa, Ona sasa! Hicho ni kikosi B lakini hali ni hivyo! Angekuwepo Max Aziz na Pacome ingekuwaje?
Hawa ingekuwa Simba tungeshawapiga 8.
 
I see the reason why Mzize is not in National Team
 
Goaaaaaaaaal.

Mzizeeee anapiga chenga wote.

Chuma ya Nne
 
Back
Top Bottom