FT: Yanga SC 5-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 31.12.2023

Ngushi Leo wamoto sana kambaaaaa kaweka la pili
 
Hii Timu ya Jamhuri ni timu rasmi jamani?

Au ni wale vijana wanaojikusanya tu mtaani?
 
Yanga wanapiga bomu Mochwari hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…