FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

Kuna team zinashusha hadhi ya ligi kui, bora ziondolewe tu.

Hazitoi ushindani.

Kwenye ligi kuu kuna team 4 tu zinazotoa ushindani
Yanga
Simba
Azsm
Singida kwa mbaali.

Tukiwa na team nyingi dhaifu inapunguza ladha ya ligi yetu
 
Hao mliowapiga moja kwa ziro majini hayakuhusika....yalihusika pale yalipoona timu ni threat...
 
Majini yetu sasa yananuka damu! Yanajisikia kuua na kunywa damu tu!! Mtu ajichanganye sasa aone[emoji38][emoji38]
 
Ihefu kaungana na polisi tz ndani ya 5G
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…