FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

Naushauri uongozi wa Yanga utafakari kutumia uwanja wa Chamazi kwa MECHI ZIJAZO Sababu Azam nao wana timu na wanataka ubingwa hivo kutumia uwanja wa Chamazi mnakaribisha hujuma toka Azam FC.Na hata pia wale jamaa !
Nawasilisha
Azam kwa Yanga hawana madhara,Huoni Simba wanaukimbia? Mara Mwanza mara twende Unguja.....Yanga chamazi ni nyumbani kuliko hata Azam wenyewe 😀
 
Frank Wanjiru na Labani og ndo makimbukeni nambari moko wa utopwolo...
Screenshot_20231105-205230_WhatsApp.jpg
 
Mnatuchosha na hizo 5 timu inayojinasibu kubwa ambayo haitumii nguvu za ziada haiwezi imba goli 5 mwaka mzima mnakuwa washamba au ni majini kweli yalitumika mpk leo hamuamini....kitu ambacho mnyama alikua anawala tuu vitimu kama hivyo msimu uliopita...
Marehemu kila baada ya muda hua anakumbukwa kwa kuombewa. So, relax bibie na uzoee!
 
Back
Top Bottom