FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

Wewe na Labani og ndo malimbukeeeeniii mpka mnaboa...nampenda mtani wangu Tate Mkuu hana huu ushamba ..au atanikana? [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
Huyo naye ni wale wale tu itakuwa hujawahi kuzifuma comments zake mbaya kuhusu Simba, shabiki pekee wa yanga anayejielewa humu jf ni Charles kilian tu, wengine wote ni Vibwengo tu [emoji1787][emoji1787]
 
Hivi ile Mechi ya Yanga/ SHUMILETA FC na Kagera Sugar iliyoisha 0-0 na baadae Kamati kuamua kwamba Bao la Kagera Sugar ni Halali inarudiwa lini? au Kagera Sugar ananyongwa na Yanga anapata Point za dhuluma! Kama ni hivyo, Yanga lolote liwakute Dhuluma ni dhambi.
Hakuna Kamati iliyoamua hivyo, ni watu walitoa maoni yao tu
 
Afande Muliro,afande Msangi na afande mkuu wa kituo cha polisi chang'ombe bila shaka wamefurahi sana!! Hawa wakuu hata yanga iwe inacheza kombe la mbuzi wako tiyali kumfanyia hujuma yeyote ili mradi yanga ipate matokeo.
Muliro najua ni Uto lia lia...
 
Hata waanzishe ligi yao 🤣🤣🤣🤣🤣
◉ Yanga 5 - 0 KMC
◉ Yanga 5 - 0 JKT Tanzania
◉ Yanga 5 - 1 ASAS 🇩🇯
◉ Yanga 5 - 1 Simba SC
◉ Yanga 5 - 0 Jamhuri
◉ Yanga 5 - 1 Hausing Fc
◉ Yanga 5 - 0 Polisi Tanzania
 
Jana nilikuwa naangalia mpira na maaskari kama nane hivi, cha ajabu walikuwa wanaishangilia Yanga badala ya kuishangilia timu yao ya Polisi, kweli Yanga ni timu ya wananchi whether u like it or not.
 
Back
Top Bottom