FT: Yanga vs Mwadui (3-2) | VPL | Benjamin Mkapa

Mzee Mpili atamvisha mtu nguo nyeupe leo.
yanga hawataki kukubali wana tatizo,msimbazi tulipitia kipindi kigumu cha kukosa hela na usajili usioeleweka kwa miaka 5 baada ya hapo simba waligundua kosa lao ...

sasa hata kama safari hii wana hela za gsm subiri papara zao wataleta wachezaji wapya 12 au 15 halafu kocha atafukuzwa halafu wataanza kusema tuwape muda wa muunganiko mwishowe wataamia kwa mnyonge wao wallace karia kumtupia lawama
 
Leo uto sijui watamzomea nani,, kati ya fiston au shikalo, ila ngoja tuone, ila huyu itakuwa karia na tff yake wametia mkono
 
Umekimbia uzi wako [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…