Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yanga hawataki kukubali wana tatizo,msimbazi tulipitia kipindi kigumu cha kukosa hela na usajili usioeleweka kwa miaka 5 baada ya hapo simba waligundua kosa lao ...Mzee Mpili atamvisha mtu nguo nyeupe leo.
Huyo ndio Mr Utopolo Original
Bora kabwili akae golini tu hizi takataka ziondoke.Tunawataka na msikimbieee
Yes sema napendaga interview zake hapindishii maneno ...Huyo ndio Mr Utopolo Original
Maji mtayaitaaaaa mmhaaaaaaBora kabwili akae golini tu hizi takataka ziondoke.
Mbona aliwahi daka mpaka Chmpions league na akafanikiwa.
Uto wapo nyumbani minya ya kulia.haki ya Mungu nakwambia Uto awatoboi.nimeshika pumbu kwa ajili ya Mwadui
Hali ni mbaya presha zimepanda huko wapo nahututi.Afu..Watani Sio Poa hivi Kweli Mnaanzisha Uzi Halafu Mnadisapia ...Kweli? Mko Wapi Sasa?
Yambwa kafungwa 2Nani anaongoza?
Umekimbia uzi wako [emoji28][emoji28][emoji28]Match kama ya leo itusaidie kupandisha wafungaji wetu wafikishe bao nyingi. Huyu kipa wa Mwadui tunamfahamu vizuri sana.
Naomba tutumie nafasi hii kupata ushindi wa kishindo.
===========
21' Goaaal, Yanga wanauweka ubao sawa, Yanga 1-1 Mwadui
28' Yanga wanapata mpira wa adhabu ndogo nje kidogo ya lango la mwadui hata hivyo mpira hauna manufaa
34' Saidoo anaachia mpira matata lakini unagonga mwamba, Yanga 1-1 Mwadui
42' Fei Toto anawekwa chini ndani ya Box la Mwadui, Penalt
43' Kipa wa Mwadui, Mussa Mbise anapangua mkwaju wa Penalt wa Fisto AbdulRazak
45+2' Mpira unaenda mapumziko
59' Kisinda anaingia kuchukua nafasi ya Mwauya
64' Goaaaal, Aneth Revocatus anaachia mkwaju mkali kutoka nje ya 18 na kumuacha Farouk Shikalo akigaagaa
65' Revocaus anapewa kadi ya njano kwa kuvua jezi wakati anashangilia goli
67' Yacuba anaingia kuchukua nafasi ya Fisto AbdulRazak kwa upande wa Yanga