FT: Young Africans 2 - 0 KMC | NBC Ligi Kuu | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Young Africans 2 - 0 KMC | NBC Ligi Kuu | Benjamin Mkapa Stadium

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Habari,

Young Africans Mabingwa Wa Kihistoria Nchini Leo Wataingia Uwanjani Kumkaribisha KMC kwenye mchezo wao wa kumi na name hapo saa moja kamili usiku Uwanja Wa Benjamin Mkapa.

Hadi sasa Young Africans hawajapoteza mchezo wowote na inawafanya kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi. Tunategemea kuona mchezo mzuri wenye upinzani kutoka kwa KMC wajiitao watoto wa Kinondoni.

Ikumbukwe mchezo huu ulitanguliwa na Tamasha/Shehere za kumpongeza Raisi WA Jamhuri Ya Muungano Samia Suluhu kwa kutimiza mwaka mmoja madaraka huku hafla hizo Mgeni Maalumu alikuwa ni Raisi Wa Awamu Ya Nne Jakaya Mrisho Kikwete.

Mechi Itaanza Saa Moja Kamili Dakika Chache Kuanzia Sasa.


yangasc-20220319-0001.jpg
kmcfc_official-20220319-0001.jpg
 
Muda mchache ujao, Yanga Sc watashuka dimbani kucheza na KMC.

Utakuwa ni mchezo wa aina yake, kwani mzungukobwa kwanza Yanga alishinda 2-0.

KMC wanataka kujiuliza leo, je wataweza kweli?

Mtanange ni saa 1:00 usiku
Lineup ipo wapi OP
 
Hivi kinachofanyika hapo kuhusu Samia Suluhu sio kuingiza siasa kwenye mpira wa mguu?
 
Back
Top Bottom