Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitaka Kuamini Kuwa Siasa Na Mpira Haviingiliani Kuwa Ni Idea Theory Angalia Sakata La FIFA& UEFA Walichokianya Kwa Timu Za RussiaHivi kinachofanyika hapo kuhusu Samia Suluhu sio kuingiza siasa kwenye mpira wa mguu?
Kama Kawaida Mzee Wangu Ni Suala La Dk Kadhaa Tu.
Wakati ule Jiwe alikuwa haingizi siasa mpirani?Hivi kinachofanyika hapo kuhusu Samia Suluhu sio kuingiza siasa kwenye mpira wa mguu?
Kwani uongo?Yanga bana huwa wanataka waonekane kuwa wao na serikali ni kitu kimoja.
Kama yapi hayo?Kikwete mbona hataji mafanikio ya Simba?
🤣🤣🤣Kmc piga hao wakafuge ng'ombe wa mayele