Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye Nchi ni WananchiNdio maana hii mechi waliipeleka mbele kutoka tarehe 16 mpaka 19 kumbe ndio hili lilikuwa lengo lao. Aisee yaani huyu mchezaji anatumia nguvu kubwa sana ya kuonekana anaupiga mwingi.
Baadae baadae utasikia kuna mtu kapiga simu kwa Haji ManaraNdio maana hii mechi waliipeleka mbele kutoka tarehe 16 mpaka 19 kumbe ndio hili lilikuwa lengo lao. Aisee yaani huyu mchezaji anatumia nguvu kubwa sana ya kuonekana anaupiga mwingi.
Kawataja nyinyi ndio mmemkaribishaHivi kinachofanyika hapo kuhusu Samia Suluhu sio kuingiza siasa kwenye mpira wa mguu?
Nimejiuliza hilo hilo na mimi. Kosa sio la JK bali hao waliopangaji wa matukio kachemka. Walichofanya ni kamba ligi za mitaani, timu imeingia kwaajili ya kukaguliwa kuanza mchezo wanabakia kuganda nusu saa nzima kusikiliza hutubaSasa hii ya JK si wangewahi dakika 15 kabla ya saa 1:00 hapa wamebugi
Uto ni uto Tu🤣🤣Nimejiuliza hilo hilo na mimi. Kosa sio la JK bali hao waliopangaji wa matukio kachemka. Walichofanya ni kamba ligi za mitaani, timu imeingia kwaajili ya kukaguliwa kuanza mchezo wanabakia kuganda nusu saa nzima kusikiliza hutuba
Ni upumbavu wa hali ya juu kabisa!Ndio maana hii mechi waliipeleka mbele kutoka tarehe 16 mpaka 19 kumbe ndio hili lilikuwa lengo lao. Aisee yaani huyu mchezaji anatumia nguvu kubwa sana ya kuonekana anaupiga mwingi.