Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Yanga TAMU .Mbele nyuma kote TAMU![emoji91][emoji91][emoji91] Kila la heri Wananchi. Hakuna kulala mpaka kieleweke.
Ni mechi inayosubiliwa kwa hamu na rage fcGame ngumu hii
Wahi chanjoKila lakheri timu yangu ya utotoni KMC FC, Piga hao ZIZI FC.
Lineup ipo wapi OPMuda mchache ujao, Yanga Sc watashuka dimbani kucheza na KMC.
Utakuwa ni mchezo wa aina yake, kwani mzungukobwa kwanza Yanga alishinda 2-0.
KMC wanataka kujiuliza leo, je wataweza kweli?
Mtanange ni saa 1:00 usiku
Jipeni moyo𝑭𝑼𝑳𝑳 𝑻𝑰𝑴𝑬 𝒀𝑨𝑵𝑮𝑨 3-0 𝑲𝑴𝑪