FT: Young Africans 2 - 0 KMC | NBC Ligi Kuu | Benjamin Mkapa Stadium

Na nyinyi kule Bungeni huwa mnaenda kufanya nini mkiwa na vile vijezi vyenu vya visit Tanzania?
Visit Tanzania kwa simba inatumika kuitangaza Tanzania na kuvutia watalii, soko la utalii kwa sasa linafanya vizuri kwasababu ya kutangazwa na mnyama

So far na nyie mlijaribu, sijui mlidhani siri ya mafanikio simba kimataifa ilisababishwa na ile logo, mkaamua m design logo kubwaaa ili ionekane zaidi lakini kwa bahati mbaya mkatutangaza kimataifa kwa aibu
 

Kubali tu na huko nako ni kujipendekeza. Maana kuna Wizara ya Maliasili na Utalii, na ambayo inafanya kazi nzuri tu ya kuvutia hao watalii.

Hivyo impact yenu kwenye kuvutia watalii kupitia hicho ki logo chenu cha visit Tanzania, naweza kusema ni 0 tu mpaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…