Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
- Thread starter
- #241
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Half timeMechi inaendelea
Kama MugaluHuyu Chico Ushindi mlimpata bure nini?
Yanga 1-0 KMCHalf time
Daaah🤣🤣Kama Mugalu
Visit Tanzania kwa simba inatumika kuitangaza Tanzania na kuvutia watalii, soko la utalii kwa sasa linafanya vizuri kwasababu ya kutangazwa na mnyamaNa nyinyi kule Bungeni huwa mnaenda kufanya nini mkiwa na vile vijezi vyenu vya visit Tanzania?
right here
Nothing Much.right here
Whats poppin?
Leo sijamuona saido hapo kwenye first 11 why?Nothing Much.
Chico Ushindi Anatuchelewesha Na Kutupunguzia Assist Za Mayele
Sent using Jamii Forums mobile app
Visit Tanzania kwa simba inatumika kuitangaza Tanzania na kuvutia watalii, soko la utalii kwa sasa linafanya vizuri kwasababu ya kutangazwa na mnyama
So far na nyie mlijaribu, sijui mlidhani siri ya mafanikio simba kimataifa ilisababishwa na ile logo, mkaamua m design logo kubwaaa ili ionekane zaidi lakini kwa bahati mbaya mkatutangaza kimataifa kwa aibu
Leo sijamuona saido hapo kwenye first 11 why?
Hayo utajua wewe nachojua Mayele katetema.Kafanyaje?
Au unazungumzia assist?
Tunalifanyia kazi ombi lako.Moderator Naomba Muunganishe Huu Uzi Na FORTALEZA.
Uzi Wa FORTALEZA Uwe Main Uzi.
Sent using Jamii Forums mobile app