FT: Young Africans 2 - 0 KMC | NBC Ligi Kuu | Benjamin Mkapa Stadium

Kmc wameupigwa mwingi sana wangekuwa makini leo kesho ingefanyika press conference kubwa pale bwawani
 
Timu inayo jiita kubwa ni aibu kujivunia robo finally
 
Mm Simba ila Yanga kiboko aisee, wanaupiga mwingi kama Bacca ya Guardiola, kuanzia kipa mpk Mayele wote wana control, tofauti na cc tunaruka ruka tu uwanjani, tumejaza wazee na mpira wetu ni kutegemea ndumba tu pale kwa Mkapa.
Taratibu, utauwwawa bure kwa kusema ukweli.
 
Mzee Kuna pesa kule, we unafikiri wale waarabu walianzisha hadi ugomvi kwaajili gani, wanajua wakikwama watakosa pesa nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…