Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hata utopolo mnajua. Club pekee east & central Africa ktk mashindano ya CAF na inaongoza ktk msimamo wa group.Kama yapi hayo?
Hayo ndiyo mafanikio yenu?Hata utopolo mnajua. Club pekee east & central Africa ktk mashindano ya CAF na inaongoza ktk msimamo wa group.
Sadallah anapiga kichwa lakini kinaenda njeKMC wanapata kona
Mdhamini gani?Naona leo jezi za Yanga zina mdhamini mwingine🤣🤣🤣