Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Kama mlizopigwa janaLilikuwa linatafutwa bao latatu hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mlizopigwa janaLilikuwa linatafutwa bao latatu hapo
Wacha ujinga hawa wakikutana na Simba hii ya mambilikimo tunachakaaMazembe mbovu bora hata ihefu
Wenzako tunaogopa kuuangaliaMpira mtamu huuuuuu
Tena[emoji22]Mazembe mbovu bora hata ihefu
unanikumbusha kauli ya msemaji wenu kwamba mbeya city n wagumu raja walainiMazembe mbovu bora hata ihefu
Hapo usisahau Aziz Ki yupo benchi anawasoma tu.Game Bado Mpira dakika 90
Pona yenu Mayele asitetemeMashabiki wa Simba tutakoma
Mungu saidia Mazembe wachomoe na waongeze
lazima muogopeWenzako tunaogopa kuuangalia
Hayo unayajua weweGame Bado Mpira dakika 90
Kuna shida gani kwaniAzizi Ki kaanzia sub??
Sizitaki mbichi hiziAngalau utopolo mnatuheshimisha kwenye kombe la mbuzi🫣🫣
Ni suala la muda tu furaha yenu itageuka kuwa vilioPona yenu Mayele asiteteme
Wenzako tunaogopa kuuangalia
Umesahau za mkuu wa mkoa10 Milioni za Mama tunazo
Kombe la mbuzi/losers haliwezi kuondoa aibu, hayo ni mazoezi tu wanafanya hapo taifa..Wanatuondolea aibu ya jana kama Taifa
Sema chochote basi. 😀Game Bado Mpira dakika 90