Umeanza uchokozi wako sasa, tangu jana niliapa kutokuingia huku kwenye jukwaa la michezo, kwanini umenitag na unajua siwezi kukupuuza?😁

Eti binti yangu😊.
Sitaki ukae huko 'monyewe' ufikirie 'hudhuni' za Jana, wakati huku kuna shangwe la bure kabisa linalopunguza stress na kuponya maumivu...!!

Umeona jinsi gani Nakupenda lakini..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…