FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023
Hii nidhamu anayo itengeneza Nabi kwamba hamna mchezaji mkubwa zaidi ya club ni nzuri sana Mudathir nilikuwa na wasiwasi nae ila leo yupo vizuri sana.

NB:Tupate wadhamini makolo endeleeni na uchambuzi wa Feisal na Sportpesa tukisubiria kipindi cha pili.
 
Hii sio Mazembe
Ni kikundi cha wanamuziki wa Kikongo.
Lazima tuiheshimu yanga,TP Mazembe ni wazuri mno,lakini walifanya kosa kutowaheshimu yanga na wamepata wasichokidhania.

Simba tuache ujinga,hasa mashabiki tuna upumbavu sana kiasi tuliruhusu viongozi wafanye usajili wa kihuni kihuni tu na tukawapa kura tena waendelee na uhuni wao
 
[emoji15]
463728666.jpg
 
Jiraniii jirani yetuu eee sisi tushachukua hela za Mama,nyinyi mlizikataa jana jiraniii ee sisi tumezichukua,mnapotununia mnashangaza jiraniii hatukuwakataza kuchukuaaaa

Sasa tuwaeleweje jiraniii eee sasa tufanye nini jirani. Sisi na nyie ni kitu kimojaaaa haina maana ooh haina maaana kununiana,sisi na nyie ni majiraniii oooh haina maana haina maana kukosa raha😂😂😂😂


Cc Jirani from twanga pepetaa
 
Back
Top Bottom