Maku
 
Makundi yamepangwa katika namna ambayo Timu za kutoka Ligi kubwa Afrika ziingie robo Ili hapo Sasa kusiwe na lawama.

TP Mazembe
Yanga
Mamelodi
Raja
Al Ahly
Pyramids
ES Tunis
CR Beluizdad

Wengine hapo waanze kufungasha virago maana hapa ndio mwisho wao.

My Take: Draw Huwa ni maigizo ila.kila kitu kinakuwa kimepangwa kabla πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hivyo hivyo na kwa.kina Simba,angalia Timu namba 1&2 zimepangwa Kimkakati πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DA0efdZsYRB/?igsh=MTA0aWh4ZTQ1bGRubg==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…