FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023
Young Africans watashuka dimbani kuwakaribisha TP Mazembe ktk mchezo wa kombe la shirikisho afrika.

Yanga ina historia ya kufungwa na Mazembe mara nyingi. Leo wataweza kupindua meza? Yanga wanapaswa washinde ili kulinda heshima ya nchi.

Mazembe wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ktk mchezo huo utakaofanyika saa 1 usiku.

View attachment 2523215
Kikosi cha Yanga

View attachment 2523214
Kikosi cha TP Mazembe​

Mchezo umeanza
5' Yanga wameanza kwa kasi kubwa wakitafuta goli la mapema
7' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Yanga wanapata goli la kwanza, kupitia kwa Musonda
10' Kasi ya mchezo inaongezeka
13' GOOOOOOOOOOOOOOO
Mudathir anaipatia Yanga goli la pili
16' Mzembe wanaonesha utulivu na kuanza kujipanga
25' Kasi ya mchezo imepungua tofauti na ilivyoanza
30' Yanga wanaonesha uimara wa kuzuia lango lao
38' Mayele anakosa nafasi ya wazi baada ya kuukosa mpira karibu na lango
41' Mazembe wanaendelea kujipanga
45' Mazembe wanapata kona
MAPUMZIKO

Kipindi cha pili kimeanza
47' Musonda anakaa chini kuonesha ameumia
50' Mazembe wanapata kona, inapigwa inaokolewa
53' Azizi Ki anaingia kuchukua nafasi ya Musonda
54' Mazembe wanapata kona, inapigwa inaokolewa na kuwa kona nyingine
58' Diarra anapangua shuti kali langoni kwake inakuwa kona
66' Anatoka Mudathir anaingia Tuisila Kisinda
79' GOOOOOOOOOOOOOOOOO
Ngonga anaipatia Mazembe goli la kwanza kwa shuti la faulo
86' Mabadiliko kwa Yanga, anatoka Moloko na Bangala
Wanaingia Clement na Zawadi Mauya
90' Goooooooooooooooooo
Kisinda anafunga goli la tatu akimalizia pasi ya Mayele

FULL TIME
Maku
 
Makundi yamepangwa katika namna ambayo Timu za kutoka Ligi kubwa Afrika ziingie robo Ili hapo Sasa kusiwe na lawama.

TP Mazembe
Yanga
Mamelodi
Raja
Al Ahly
Pyramids
ES Tunis
CR Beluizdad

Wengine hapo waanze kufungasha virago maana hapa ndio mwisho wao.

My Take: Draw Huwa ni maigizo ila.kila kitu kinakuwa kimepangwa kabla 😂😂😂😂😂

Hivyo hivyo na kwa.kina Simba,angalia Timu namba 1&2 zimepangwa Kimkakati 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DA0efdZsYRB/?igsh=MTA0aWh4ZTQ1bGRubg==
 
Back
Top Bottom