Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Ni kama Yanga na Mpira mzuriHivi kuna chemistry gani kati ya wakongo na breach?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama Yanga na Mpira mzuriHivi kuna chemistry gani kati ya wakongo na breach?
Aigooo..! Ahjumma, hata wewe unafurahia kuteseka kwangu?😄
🤣🤣🤣🤣Game Bado Mpira dakika 90
Shangwe/compactKifurishi kip unaweza ona
Hiyo ya kwanza ni lazima Thimba achezee mikwajuView attachment 2523248
Mechi 3 za fainali za Simba hizi,kama anataka kufuzu anatakiwa kushinda zote
Jana mliamua kurudi kinyumenyume, hivi mnarudije kinyumenyume kwa waarab wakati mnajua tabia zao🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂
Nisaidie tu kumchangamsha maana huku nyumbani hali siyo nzuri..!!
Sio breach tu, wengine wanajichubua kabisaaHivi kuna chemistry gani kati ya wakongo na breach?
You heard him right!
Kuna donge flani hivi limekukaba kwenye koo linakukera hatari.Hadi sasa mpira wanaocheza yangu ni mbovu na hizo gori zimeingia kwa sababu mazembe ni wabovu..
Simba jana ilicheza mpira mkubwa sana ila raja walikuwa bora sana na ni mafundi.
Uto...mnapambana sana kulifutia aibu taifa.Twende kazi Wananchi. 💪
Muwafute machozi wadogo zenu.
Ahjumma, 😂😂😂Aiyoooo hata kwenye biblia wanasemaga kwa kupigwa kwake sisi tumepona
Tatumzukaaa in shadeeeya voice😂😂😂💃💃💃💃
Mgumba kapata mimba aisee mji mzima mate leo nitalala mapema sana😬
Bila ya Mayele kufunga mechi haijakamilikaMayele lazima ufunge hapa...vyovyote iwavyo .