FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023
20230218_211334.jpg


Mechi 3 za fainali za Simba hizi,kama anataka kufuzu anatakiwa kushinda zote
 
😂😂😂😂😂😂😂
Nisaidie tu kumchangamsha maana huku nyumbani hali siyo nzuri..!!


Japo sijisikii vizuri nyinyi kushinda, ila mlivyoshinda hivi plus hii furaha uliyonayo najua leo usiku utakuwa mzuri sana kwangu na machungu yote yataisha.

Nyie shindeni tu, it's a win-win scenario😄.
 
Back
Top Bottom