FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023
Japo sijisikii vizuri nyinyi kushinda, ila mlivyoshinda hivi plus hii furaha uliyonayo najua leo usiku utakuwa mzuri sana kwangu na machungu yote yataisha.

Nyie shindeni tu, it's a win-win scenario😄.
😂😂😂😂😂😂
"kwishaaaa yangu habari'..!!
 
Huyu itakuwa ndio michezo yake alikuwa anatafuta justification tu.

Kwakuwa Mazembe ni ndugu zetu watatugaiya vumbi la kasongo mundende tuwape vijana wamshughurikie wamalize kiu yake.

Rainbow revolution is really.
Hii sio mara moja kila kitu yeye anaahidi kuitwa shoga huyu jamaa FK21 achunguzwe mara moja..

Kwenye ligi ya uingereza kaahidi tena Man City akichukua aiywe shoga.
 
Back
Top Bottom