Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Tusubiri tuoneHivi wanapewa cash au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri tuoneHivi wanapewa cash au
Nashangaa watu wanaweka ahadi za kipumbavu bila sababuTumempoteza mwanaume mmoja
Yanga ni wananchiMwambieni Samia awe makini na hela za serikali, ipo siku Yanga wataifilisi nchi!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ubao unasomekaje hukoKishabiki unaweza ukasema unashinda goli 10 ili kuji comfort tu
Kibiashara huwezi ukaweka rehani pesa yako kwa utabiri wa goli 10 kwasababu ni too risk
Hiyo prediction yako ni kishabiki au kibiashara?
Siasa lazima itumike hapaVyovyote tu ilimradi mzigo upokelewe wakitaka watuwekee M PESA sawa, wakitaka wamtume msigwa alete sawa tu, wakitaka tufuate wenyewe ni safi pia
Tumekusikia mkuuNawakumbusha tenaa wale waliosahau wakumbuke nilishasema kabla...
Yanga tayari imeshinda 3-1! Ni wakati wako sasa wa kutoa mrejesho.Yanga ikishinda mm shoga
Mshamba yule!Kuna mwamba alisema ataacha kutumia jf yanga wakishinda ngoja tufukue makaburi
Hello aunt🤭🤭🤭Yanga ikishinda mm shoga
Angalia usiangushe simu au wahuni wakapita mayo tukakosa updatesKuna shabiki wa Simba analia huku kamng'ang'qnia mke wake hataki kumtoa na alibeti Yanga ikishinda anamtoa mke wake akaliwe ni makelele hapa, sasa watu wa Yanga wanasema Jay Jay akamle jamaa badala ya mke, ngoja tuone ni makelele hapa, huu mpira wa Yanga jamani ni hatari msichezee Yanga nyie... 😂😂😂
Subiri ngoja nitulize vurugu hapa, nitawamudu fasta, maana bila kuingilia kati hapa hali ya hewa itaharibika, ngoja nitumie nguvu zangu kuokoa jahazi, maana Shabiki wa Simba atalia sana hapa atashindwa kurudi hii bar..
AhaahaaHaya sasa ajiondoe
View attachment 2523328
Jamaa anafaa kuwa mtabiri huyu.Heshima kwako mkuu...!!