FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023
Jana wakati tunarudi home nilikuwa na mabishano na mashabiki wa Simba wakisema kwamba sababu ya sisi kupoteza game imechangiwa na ubovu wa washambuliaji tulionao

Sikuwapinga kwasababu ya comparison yao walitumia timu kubwa yenye Quality player kutuzidi sisi.

Mpaka pale nilipomsikia mmoja akisema Baleke sio striker mzuri kwasababu hakuna namna Tp Mazembe anaweza akakuachia mchezaji wake umnunue ambaye ni mchezaji bora.

Nikawaambia hiyo ilikuwa zamani sio sasa, kama umeona Baleke tumeuziwa mbovu ebu fikiria yule Mkoko Tonombe ambaye alikuwa ni Kisinda wa miaka ile amesajiliwa na Tp Mazembe

Tp Mazembe ya miaka hiyo ilikuwa sio ya kupoteza mechi tena nyumbani kwa timu kama ya Vipers.

Mazembe ya miaka hii ni Ihefu yenye makazi Kongo
Baleke kaja Simba kwa mkopo, ingia ukurasa rasmi wa Tp Mazembe uone taarifa yao rasmi kabisa kuhusu Baleke
 

Attachments

  • Screenshot_20230219-194116.png
    Screenshot_20230219-194116.png
    23.2 KB · Views: 2
Ukisikia mtu kapigwa kwenye mshono ndo kama hivi sasa. [emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani jana walilala na viatu na leo wanalala na viatu tena. Teh teh.
Waambie vile vikatuni wavipost mbona siwaoni, halafu wamekimbia uzi
 
Jiji limenoga mpaka basi.
Baada ya kubwa jinga kulidhalilisha Taifa hapo jana, leo wananchi wametupa uhuru.
Mashabiki wote wa soccer hapa Tanzania tumepata uhuru.
Hongera ziwaendee wachezaji wote na benchi la ufundi kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom