FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023
Acha kushabikia soka huliwezi,,, hamia kwenye miereka
DFA19541-08EC-45F7-85BD-7A64633E3B25.jpeg
 
Leo tulitakiwa kushinda goli 4 ila hana utulivu kabisa, kuna muda anatoa pasi fupi, uchoyo pia.
Kwaiyo mayele katoa pas ngap za wazi ambazo wenzie ndo wameshindwa kuzibadirisha kuwa magoli mpaka ya mwisho kisinda ndo kaibadirisha kuwa Goli acha ujinga kama mtu humpendi lakini anapofanya vyema msifie yovuti zote za uchambuzi na wachambuzi wlte wamempa mayele 10/10 kwenye game ya leo alafu wewe nani useme hana utulivu sijui mchoyo na wakati katoa clear passes zaidi ya 5 ulitaka afanyeje zaidi yani!!
 
Kocha amweke chini an bahati ya kupata Mipira Ila Hana dribbling skills na uwezo wa kuuficha Mpira Kwa muda mrefu wakati akisubiria msaada wachezaji wenzie
Ngoja tuone ila namkubali sana mayele
Hii inatufundisha kwamba ukiona mtu anaongoza ligi ujue anahitaji heshima ya kipekee na hupaswi kujifananisha naye kwa namna yeyote ile. 😂😂
😂😂 sisi sio level zao hao makolo
Ila Mayele kaupiga mwingi sana leo, japo hajatupia.
sana atafunga tu ni suala la muda, hawa tp tunaenda kuwafunga na kwao.
 
Utopolo wakitaka niwape heshima huku walipo waanzie robo fainali kwenda mbele, lakini hawa Mazembe wa siku hizi ni timu nyepesi sana, ndio maana walipigwa na Vipers inayoteseka klabu bingwa, next week naenda piga mtu kwake.
Vipers katesekaje klabu bingwa? Kufungwa goli tano na Raja wakiwa Morocco unaita kuteseka. Je alifungwa goli tatu nao wahesabiwe wanafanyaje? Leo umuhimu wa Feisal umeonekana bila yeye kuwepo uwanjani Yanga asingeshinda goli nyingi. Kauendeleze uzi wako wa Feisal huku ukiendelea kupiga hesabu za TUKIWAKI ( Tukiwafunga au wakifungwa)
 
Back
Top Bottom