Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Ila Mayele kaupiga mwingi sana leo, japo hajatupia.Leo kajitahidi, mayele ana presha sana sijui kwanini, mipira mingi kwake inapotea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Mayele kaupiga mwingi sana leo, japo hajatupia.Leo kajitahidi, mayele ana presha sana sijui kwanini, mipira mingi kwake inapotea
Hahahaaa. LolDaaahh,
Haya bhana🤣🤣🤣
Acha kushabikia soka huliwezi,,, hamia kwenye miereka
Makolokolo wameshaanza maneno ya shombo kuwa wao wanacheza Klabu Bingwa Africa wala si Shirikisho ligi ya Watoto kama sisi YANGA [emoji1787]Ahueni tumewafichia aibu wadogo zetu wa simba. [emoji123]
Nasemajeeeee
Ooooh big upBao ni 2-1 wakikoswakoswa basi ni 3-1
Young African WIN
Ajifunze kuilinda Mipira wakati akisubiria wenzieIla Mayele kaupiga mwingi sana leo, japo hajatupia.
Kwaiyo mayele katoa pas ngap za wazi ambazo wenzie ndo wameshindwa kuzibadirisha kuwa magoli mpaka ya mwisho kisinda ndo kaibadirisha kuwa Goli acha ujinga kama mtu humpendi lakini anapofanya vyema msifie yovuti zote za uchambuzi na wachambuzi wlte wamempa mayele 10/10 kwenye game ya leo alafu wewe nani useme hana utulivu sijui mchoyo na wakati katoa clear passes zaidi ya 5 ulitaka afanyeje zaidi yani!!Leo tulitakiwa kushinda goli 4 ila hana utulivu kabisa, kuna muda anatoa pasi fupi, uchoyo pia.
Mayele uwezo umekuwa mdogo... & tamaa. Akae pembeniUpdate news tunaombea Musonda asiwe na Majeruhi makubwa sana maana Mayele atateseka sana kukosa sapoti ya kufunga magoli.
[emoji23][emoji23]Ukisikia mtu kapigwa kwenye mshono ndo kama hivi sasa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani jana walilala na viatu na leo wanalala na viatu tena. Teh teh.
Ngoja tuone ila namkubali sana mayeleKocha amweke chini an bahati ya kupata Mipira Ila Hana dribbling skills na uwezo wa kuuficha Mpira Kwa muda mrefu wakati akisubiria msaada wachezaji wenzie
😂😂 sisi sio level zao hao makoloHii inatufundisha kwamba ukiona mtu anaongoza ligi ujue anahitaji heshima ya kipekee na hupaswi kujifananisha naye kwa namna yeyote ile. 😂😂
sana atafunga tu ni suala la muda, hawa tp tunaenda kuwafunga na kwao.Ila Mayele kaupiga mwingi sana leo, japo hajatupia.
April mbali kesho kutwa wapo na Azam,wapo wanawatongoza TFF mechi isogezwe mbele Kwa kisingizion Cha kujiandaa na kimataifaMikia kila wakiiwaza April basi wanapata ganzi kama ile waliyokuwa nayo jana pale Taifa. 😂😂😂
Vipers katesekaje klabu bingwa? Kufungwa goli tano na Raja wakiwa Morocco unaita kuteseka. Je alifungwa goli tatu nao wahesabiwe wanafanyaje? Leo umuhimu wa Feisal umeonekana bila yeye kuwepo uwanjani Yanga asingeshinda goli nyingi. Kauendeleze uzi wako wa Feisal huku ukiendelea kupiga hesabu za TUKIWAKI ( Tukiwafunga au wakifungwa)Utopolo wakitaka niwape heshima huku walipo waanzie robo fainali kwenda mbele, lakini hawa Mazembe wa siku hizi ni timu nyepesi sana, ndio maana walipigwa na Vipers inayoteseka klabu bingwa, next week naenda piga mtu kwake.