Aliahidi leta ile screenshot yake ili ajionee atutunuku bila lawama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baleke kaja Simba kwa mkopo, ingia ukurasa rasmi wa Tp Mazembe uone taarifa yao rasmi kabisa kuhusu BalekeJana wakati tunarudi home nilikuwa na mabishano na mashabiki wa Simba wakisema kwamba sababu ya sisi kupoteza game imechangiwa na ubovu wa washambuliaji tulionao
Sikuwapinga kwasababu ya comparison yao walitumia timu kubwa yenye Quality player kutuzidi sisi.
Mpaka pale nilipomsikia mmoja akisema Baleke sio striker mzuri kwasababu hakuna namna Tp Mazembe anaweza akakuachia mchezaji wake umnunue ambaye ni mchezaji bora.
Nikawaambia hiyo ilikuwa zamani sio sasa, kama umeona Baleke tumeuziwa mbovu ebu fikiria yule Mkoko Tonombe ambaye alikuwa ni Kisinda wa miaka ile amesajiliwa na Tp Mazembe
Tp Mazembe ya miaka hiyo ilikuwa sio ya kupoteza mechi tena nyumbani kwa timu kama ya Vipers.
Mazembe ya miaka hii ni Ihefu yenye makazi Kongo
Mkeka umetikiFull time
Yanga 3 : Tp Mazembe 1
Yanga 2 : Tp Mazembe 1
Mpira utakuwa na presha kubwa, kadi nyingi za njano pande zote, malumbano ya hapa na pale.
Leo kajitahidi, mayele ana presha sana sijui kwanini, mipira mingi kwake inapotea
Ukisikia mtu kapigwa kwenye mshono ndo kama hivi sasa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani jana walilala na viatu na leo wanalala na viatu tena. Teh teh.
Here you goAliahidi leta ile screenshot yake ili ajionee atutunuku bila lawama
Waambie vile vikatuni wavipost mbona siwaoni, halafu wamekimbia uziUkisikia mtu kapigwa kwenye mshono ndo kama hivi sasa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani jana walilala na viatu na leo wanalala na viatu tena. Teh teh.
Mwaka huu hatunywi majiShukran Mtani. Huu ni mwanzo tu.
🙏🙏
Leo tulitakiwa kushinda goli 4 ila hana utulivu kabisa, kuna muda anatoa pasi fupi, uchoyo pia.Ajifunze kutulia
Huyu mkia asamehewe maana hajui alisemalo
Hahahaaa. Hatari sana.Inaitwa kudouble dose daktari kaueleza umeze vidonge viwili wewe unagonga 4 ili uwahi kupona kumbe umeharibu utaratibu
Messi kwa foul ni hatari, labda ngoja tuone gem zijazo.Mpira una siku na siku ujue.. Si unaona Messi leo dk 90 chaaap kapiga foul ndaniiii na ushindi ukatokea hapo hapo..
Daaahh,Ukisikia mtu kapigwa kwenye mshono ndo kama hivi sasa. 😂😂😂
Yaani jana walilala na viatu na leo wanalala na viatu tena. Teh teh.
Tawireeeee🤣🤣🤣🤣Bao ni 2-1 wakikoswakoswa basi ni 3-1
Young African WIN
Aisee una kismatiBao ni 2-1 wakikoswakoswa basi ni 3-1
Young African WIN
Kocha amweke chini an bahati ya kupata Mipira Ila Hana dribbling skills na uwezo wa kuuficha Mpira Kwa muda mrefu wakati akisubiria msaada wachezaji wenzieLeo tulitakiwa kushinda goli 4 ila hana utulivu kabisa, kuna muda anatoa pasi fupi, uchoyo pia.