FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023
Ndugu zangu watanzania,

Rais Samia Ni kiongozi mwenye Baraka na kibali ,Ni kiongozi Ambaye kila anapogusa lazima pafanikiwe,lazima matokeo yawe chanya,lazima patowe matunda,lazima pawe na furaha na amani,kila atakalo litamka neno kutoka katika kinywa chake Ni lazima lifanikiwe, Ni lazima lipokelewe na watu,Ni lazima liteke hisia na kuungwa mkono na watanzania.

Siku chache zilizopita Rais Wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania mzalendo na Sauti ya Afrika Rais Mama Samia Suluhu Hassan alitoa ahadi ya kununua kila goli litakalo fungwa na Timu zetu za Simba na Yanga kwa kiasi Cha shilingi milioni Tano dhidi ya wapinzani wao.

Leo Yanga Baada ya kukumbuka Sauti na ahadi ya Rais wetu na mama yetu shujaa wa Afrika na mtetezi wa waafrika wakaingia uwanjani kimapambano,kimkakati ,kizalendo,kishupavu,kiimara,kikomandoo,kijasusi na kwa kujitoa huku wakiisikia sauti ya mama yao mama Samia kiongozi wa wote ikiwapa hamasa mioyoni mwao,Hatimaye wakapambana kwa nguvu zao zote kwa jasho na machozi na kuisimamisha na kuiduaza Afrika na Dunia nzima kwa ujumla kwa namna walivyo tandaza kandanda la kiwango Cha kimataifa ambalo limeweka historia isiyofutika Barani Afrika na Tanzania.

Yanga wametufuta machozi kama Taifa,wametupatia heshima na kutuheshimisha,wametufutia aibu Kama Taifa,wameleta furaha na Tabasamu watanzania,wamewaponya wengi kwa kuwapatia furaha,wametuondolea Aibu Kama Taifa,wamefanya nchi iendeleee kutabasamu na kutawaliwa kwa vifijo na ndelemo,wamefanya Tanzania ya Rais Samia iendeleee kuteka anga la Afrika,wamefanya mitaa yote ilipuke kwa shangwe na kelele za furaha.

Wamefanya kila biashara ichangamke,vinywaji vinanunuliwa na watanzania huku mitaani bila kikomo, waliokosana wanapatana kutokana na kujawa na furaha.

Hakika ushindi wa yanga uliochagizwa na ahadi za mh Rais umeliunganisha Taifa na kumheshimisha mh Rais wetu mama Samia,wachezaji wamepambana na kupigana kikomandoo kulinda na kutetea heshima ya mh Rais,Sasa nyuso za watanzania zimejawa na furaha,mioyo ya watanzania Ni vicheko na furaha.

Hongera Sana Rais Samia kwa baraka zako kwa vijana wako,hakika umewasaidia Sana katika kuwapa hamasa wachezaji,wewe Ni mshindi Rais wetu katika mchezo wa leo,wewe Ni shujaa Rais wetu katika ushindi wa yanga, Ndio maana jumuiya ya Wanamichezo wote inakupenda Sana na kukuunga mkono.

Naamini Tanzania itaendeleaa kung'ara kimichezo kwa kuwa Rais wetu Ni mwana michezo na mpenda maendeleo ya michezo hapa nchini, palipo na mkono wa Rais Samia lazima uone mafanikio,palipo na neno la Rais Samia lazima uone Tabasamu katika nyuso za watanzania.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Ndugu yangu huku sisi hatufagiliagi hizi habari,shangilia ushindi kwa Amani,Uwanjani hamna chadema wala Cuf,huku hakunaga itikadi za siasa hata kidogo.Acha kuuingiza ukoo wako kwenye aibu ndogo ndogo.
 
Tumbafu zako
 
Kwa hiyo alipangua?acha utani naye ni boya
Kwako ni boya ila kwa Yanga ni dhahabu kubwa sana kwasababu amesaidia timu zaidi kuliko maelezo. Kwahiyo baki na mtazamo wako kwasababu uboya wake haukusaidii kitu na uimara wake haukusaidii kitu ila kwa mashabiki wa Yanga ndio wenye uwezo wa kunufaika au kutonufaika na kiwango chake. Pole kwa maumivu
 
Kwanza muukize wameshaanza kwenda mbele au bado wanarudi kinyume nyume tu!!
 
B6E55BA9-5084-4D0D-A45D-FA252C409CCC.jpeg

Mbumbumbu Fc wanatamaniii 🤣🤣🤣
 
Ndugu zangu watanzania,

Rais Samia Ni kiongozi mwenye Baraka na kibali ,Ni kiongozi Ambaye kila anapogusa lazima pafanikiwe,lazima matokeo yawe chanya,lazima patowe matunda,lazima pawe na furaha na amani,kila atakalo litamka neno kutoka katika kinywa chake Ni lazima lifanikiwe, Ni lazima lipokelewe na watu,Ni lazima liteke hisia na kuungwa mkono na watanzania.

Siku chache zilizopita Rais Wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania mzalendo na Sauti ya Afrika Rais Mama Samia Suluhu Hassan alitoa ahadi ya kununua kila goli litakalo fungwa na Timu zetu za Simba na Yanga kwa kiasi Cha shilingi milioni Tano dhidi ya wapinzani wao.

Leo Yanga Baada ya kukumbuka Sauti na ahadi ya Rais wetu na mama yetu shujaa wa Afrika na mtetezi wa waafrika wakaingia uwanjani kimapambano,kimkakati ,kizalendo,kishupavu,kiimara,kikomandoo,kijasusi na kwa kujitoa huku wakiisikia sauti ya mama yao mama Samia kiongozi wa wote ikiwapa hamasa mioyoni mwao,Hatimaye wakapambana kwa nguvu zao zote kwa jasho na machozi na kuisimamisha na kuiduaza Afrika na Dunia nzima kwa ujumla kwa namna walivyo tandaza kandanda la kiwango Cha kimataifa ambalo limeweka historia isiyofutika Barani Afrika na Tanzania.

Yanga wametufuta machozi kama Taifa,wametupatia heshima na kutuheshimisha,wametufutia aibu Kama Taifa,wameleta furaha na Tabasamu watanzania,wamewaponya wengi kwa kuwapatia furaha,wametuondolea Aibu Kama Taifa,wamefanya nchi iendeleee kutabasamu na kutawaliwa kwa vifijo na ndelemo,wamefanya Tanzania ya Rais Samia iendeleee kuteka anga la Afrika,wamefanya mitaa yote ilipuke kwa shangwe na kelele za furaha.

Wamefanya kila biashara ichangamke,vinywaji vinanunuliwa na watanzania huku mitaani bila kikomo, waliokosana wanapatana kutokana na kujawa na furaha.

Hakika ushindi wa yanga uliochagizwa na ahadi za mh Rais umeliunganisha Taifa na kumheshimisha mh Rais wetu mama Samia,wachezaji wamepambana na kupigana kikomandoo kulinda na kutetea heshima ya mh Rais,Sasa nyuso za watanzania zimejawa na furaha,mioyo ya watanzania Ni vicheko na furaha.

Hongera Sana Rais Samia kwa baraka zako kwa vijana wako,hakika umewasaidia Sana katika kuwapa hamasa wachezaji,wewe Ni mshindi Rais wetu katika mchezo wa leo,wewe Ni shujaa Rais wetu katika ushindi wa yanga, Ndio maana jumuiya ya Wanamichezo wote inakupenda Sana na kukuunga mkono.

Naamini Tanzania itaendeleaa kung'ara kimichezo kwa kuwa Rais wetu Ni mwana michezo na mpenda maendeleo ya michezo hapa nchini, palipo na mkono wa Rais Samia lazima uone mafanikio,palipo na neno la Rais Samia lazima uone Tabasamu katika nyuso za watanzania.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Na namba ya simu ukaweka ili ukumbukwe kwa mapambio uliowasilisha. Unajiabisha aisee
 
Hizi porojo peleka kwenye jukwaa la siasa.
 
Young Africans watashuka dimbani kuwakaribisha TP Mazembe ktk mchezo wa kombe la shirikisho afrika.

Yanga ina historia ya kufungwa na Mazembe mara nyingi. Leo wataweza kupindua meza? Yanga wanapaswa washinde ili kulinda heshima ya nchi.

Mazembe wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ktk mchezo huo utakaofanyika saa 1 usiku.

View attachment 2523215
Kikosi cha Yanga

View attachment 2523214
Kikosi cha TP Mazembe​

Mchezo umeanza
5' Yanga wameanza kwa kasi kubwa wakitafuta goli la mapema
7' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Yanga wanapata goli la kwanza, kupitia kwa Musonda
10' Kasi ya mchezo inaongezeka
13' GOOOOOOOOOOOOOOO
Mudathir anaipatia Yanga goli la pili
16' Mzembe wanaonesha utulivu na kuanza kujipanga
25' Kasi ya mchezo imepungua tofauti na ilivyoanza
30' Yanga wanaonesha uimara wa kuzuia lango lao
38' Mayele anakosa nafasi ya wazi baada ya kuukosa mpira karibu na lango
41' Mazembe wanaendelea kujipanga
45' Mazembe wanapata kona
MAPUMZIKO

Kipindi cha pili kimeanza
47' Musonda anakaa chini kuonesha ameumia
50' Mazembe wanapata kona, inapigwa inaokolewa
53' Azizi Ki anaingia kuchukua nafasi ya Musonda
54' Mazembe wanapata kona, inapigwa inaokolewa na kuwa kona nyingine
58' Diarra anapangua shuti kali langoni kwake inakuwa kona
66' Anatoka Mudathir anaingia Tuisila Kisinda
79' GOOOOOOOOOOOOOOOOO
Ngonga anaipatia Mazembe goli la kwanza kwa shuti la faulo
86' Mabadiliko kwa Yanga, anatoka Moloko na Bangala
Wanaingia Clement na Zawadi Mauya
90' Goooooooooooooooooo
Kisinda anafunga goli la tatu akimalizia pasi ya Mayele

FULL TIME
Hawa vibwengo watasumbua sana na majezi yao ya kichawi...🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom