Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Bado millioni tatu za RC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado millioni tatu za RC
Duh! NyieBao ni 2-1 wakikoswakoswa basi ni 3-1
Young African WIN
Wewe jamaaFull time
Yanga 3 : Tp Mazembe 1
Yanga 2 : Tp Mazembe 1
Mpira utakuwa na presha kubwa, kadi nyingi za njano pande zote, malumbano ya hapa na pale.
Duuh! Pole Swahiba.Ndio tunapambana na foleni sasa
Jamaa mchawi uyu sio bure yaani tovuti zote za uchambuzi na wachambuzi wamempa Mayele 10/10 ya perfomance ya gemu ya leo alafu anatokea mwenda kinyume nyume mmoja anaropoka ropoka tu as if amekunywa sijui supu ya mbwa ati Mayele hana utulivu , sijui mayele ni mchoyo , sijui hajiamini asee kweli mchawi ni mchawi yaaniKwaiyo mayele katoa pas ngap za wazi ambazo wenzie ndo wameshindwa kuzibadirisha kuwa magoli mpaka ya mwisho kisinda ndo kaibadirisha kuwa Goli acha ujinga kama mtu humpendi lakini anapofanya vyema msifie yovuti zote za uchambuzi na wachambuzi wlte wamempa mayele 10/10 kwenye game ya leo alafu wewe nani useme hana utulivu sijui mchoyo na wakati katoa clear passes zaidi ya 5 ulitaka afanyeje zaidi yani!!
[emoji3516][emoji115]Hilo hapo jibu lako Mzandiki mwenye PhD ya chuki binafsi wewe Kolowizard [emoji1787]
Kwa upande wa Nondo, natanguliza "Samahani" kwake kwa kuchelewa kumsifia.Wazee, mnyonge mnyongeni, ina maana leo hamjamwona NONDO MWAMNYETO au tunajitia tu upofu?
Nguvu [emoji736]
Mipira ya juu[emoji736]
Utulivu [emoji736]
Sio uchawi ni maono 😂wewe mchawi
Refa ni wao je alipoongeza dakika tano akainusuru vipi Mazembe?Ila kwakuwa refa ni wetu, ataongeza dakika mbili au tatu ili atunusuru na balaa la Mazembe
maono ya ku-edit siooSio uchawi ni maono 😂
Kaupiga mwingi sanaNakubaliana na wewe kwa asilimia zote.
Leo Mayele kakichafua kinoma.
Hakuna nilichoedit kabisa hata mara moja waulize walioona mwanzo tangu naandika,maono ya ku-edit sioo
Kabla ya mechi hayo hayajasemwa. Kila mtu alikuwa mtabiri wa kuitabiria Yanga mabaya.DRC Vs DRC..Utopolo hawa Tp Mazembe mnao uwezo kuwafunga hata 5 kwasasa uwezo wao upo chini kwa sasa kama ile Timu CAF.
Kuna Tabia hazijifichi.sasa watu wa Yanga wanasema Jay Jay akamle jamaa badala ya mke, ngoja tuone ni makelele hapa,
Subiri wapumbavu wenzako muendeleze upumbavu huu!Ndugu zangu watanzania,
Rais Samia Ni kiongozi mwenye Baraka na kibali ,Ni kiongozi Ambaye kila anapogusa lazima pafanikiwe,lazima matokeo yawe chanya,lazima patowe matunda,lazima pawe na furaha na amani,kila atakalo litamka neno kutoka katika kinywa chake Ni lazima lifanikiwe, Ni lazima lipokelewe na watu,Ni lazima liteke hisia na kuungwa mkono na watanzania.
Siku chache zilizopita Rais Wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania mzalendo na Sauti ya Afrika Rais Mama Samia Suluhu Hassan alitoa ahadi ya kununua kila goli litakalo fungwa na Timu zetu za Simba na Yanga kwa kiasi Cha shilingi milioni Tano dhidi ya wapinzani wao.
Leo Yanga Baada ya kukumbuka Sauti na ahadi ya Rais wetu na mama yetu shujaa wa Afrika na mtetezi wa waafrika wakaingia uwanjani kimapambano,kimkakati ,kizalendo,kishupavu,kiimara,kikomandoo,kijasusi na kwa kujitoa huku wakiisikia sauti ya mama yao mama Samia kiongozi wa wote ikiwapa hamasa mioyoni mwao,Hatimaye wakapambana kwa nguvu zao zote kwa jasho na machozi na kuisimamisha na kuiduaza Afrika na Dunia nzima kwa ujumla kwa namna walivyo tandaza kandanda la kiwango Cha kimataifa ambalo limeweka historia isiyofutika Barani Afrika na Tanzania.
Yanga wametufuta machozi kama Taifa,wametupatia heshima na kutuheshimisha,wametufutia aibu Kama Taifa,wameleta furaha na Tabasamu watanzania,wamewaponya wengi kwa kuwapatia furaha,wametuondolea Aibu Kama Taifa,wamefanya nchi iendeleee kutabasamu na kutawaliwa kwa vifijo na ndelemo,wamefanya Tanzania ya Rais Samia iendeleee kuteka anga la Afrika,wamefanya mitaa yote ilipuke kwa shangwe na kelele za furaha.
Wamefanya kila biashara ichangamke,vinywaji vinanunuliwa na watanzania huku mitaani bila kikomo, waliokosana wanapatana kutokana na kujawa na furaha.
Hakika ushindi wa yanga uliochagizwa na ahadi za mh Rais umeliunganisha Taifa na kumheshimisha mh Rais wetu mama Samia,wachezaji wamepambana na kupigana kikomandoo kulinda na kutetea heshima ya mh Rais,Sasa nyuso za watanzania zimejawa na furaha,mioyo ya watanzania Ni vicheko na furaha.
Hongera Sana Rais Samia kwa baraka zako kwa vijana wako,hakika umewasaidia Sana katika kuwapa hamasa wachezaji,wewe Ni mshindi Rais wetu katika mchezo wa leo,wewe Ni shujaa Rais wetu katika ushindi wa yanga, Ndio maana jumuiya ya Wanamichezo wote inakupenda Sana na kukuunga mkono.
Naamini Tanzania itaendeleaa kung'ara kimichezo kwa kuwa Rais wetu Ni mwana michezo na mpenda maendeleo ya michezo hapa nchini, palipo na mkono wa Rais Samia lazima uone mafanikio,palipo na neno la Rais Samia lazima uone Tabasamu katika nyuso za watanzania.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Ahadi ya mh Rais imewapa hamasa Sana wachezaji wa yanga Baada ya kusikia sauti ya mama yao ikiwahamasishaSubiri wapumbavu wenzako muendeleze upumbavu huu!
Mtaiponza Yanga na ujinga wenu wa Mambuzi
Wewe ni sawa na hiivkitu hapo
[emoji116]
View attachment 2523407